Tuna timu maalum ya kuhudumia wateja inayopatikana kila siku kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2 usiku. Wasiliana nasi kwa maswali yoyote kuhusu bidhaa au oda yako.
Je, una swali kuhusu oda yako? Unataka kujua zaidi kuhusu bidhaa? Usisite kutuandikia.
Popote ulipo Tanzania, tutakufikishia bidhaa yako kwa gharama nafuu na malipo utafanya ukipokea bidhaa.